1.Ati twonane mtoni?Maji mazuri ya Mbingu;Yanatokea mwangani,Penye kiti cha Mungu.Naam, twonane mtoni!Watakatifu, kwenu ni mtoni!Tutakutanika mtoniPenye kiti cha Mungu.
2.Tukitembea mtoniNa Yesu mchunga wetuDaima tu ibadaniUsoni pake kwetu.
3.Kwang’ara sana mtoniCha Mwokozi ni kioo,Milele hatuachani,Tumsifu kwa nyimbo.
4.Si mbali sana mtoni,Karibu tutawasili,Mara huwa furahaniNa amani ya kwel...
Monday, January 21, 2019
Sunday, January 20, 2019
Anisikiaye, Aliye Yote
1.Anisikiaye, aliye yote;Sasa litangae, wajue wote,Duniani kote neno wapate,Atakaye na aje!
Ni “Atakaye”, ni “atakaye”,Pwani hata bara, na litangae;Ni Baba Mpenzi alinganayeAtakaye na aje.
2.Anijiliaye, Yesu asema,Asikawe, aje hima mapema;Ndimi njia, kweli, ndimi uzima;Atakaye na aje!
3.Atakaye aje, ndivyo ahadi;Atakaye hiyo, haitarudi!Atakaye lake, ni la abadi!Atakaye na aj...
Anipenda ni Kweli
1.Anipenda ni kweli;Mungu anena hili;Sisi wake watoto;kutulinda si zito.
Yesu anipenda,Yesu anipenda,Kweli anipenda,Mungu amesema.
2.Kwa kupenda akafaNiokoke na kufa;Atazidi taka,Sana ataniweka.
3.Anipenda kabisa;Niuguapo sasaAnitunza MbinguniNniliyelala chini.
4.Kunipenda haachi,Tu sote hapa chiniBaada ya mashakaKwake tanipelek...
Aliteswa, Aliteswa
1.Aliteswa, aliteswa,
Msalabani Yesu aliteswa,
Dhambi zangu ameziondoa,
Mahali pangu aliumizwa.
2.Alikufa, alikufa,
Msalabani Yesu alikufa,
Kwa kifo chake nakombolewa,
Kwa kuwa Yesu alinifia.
3.’Kafufuka, ‘kafufuka,
Kaburini Yesu alitoka,
Nami nimewekwa huru pia,
kwa kuwa Yesu alifufuka.
4.Yuko hai, yuko hai,
Mbinguni anaishi Mwombezi,
Daima huniombea mimi,
Kwa kuwa Yesu adumu hai.
5.Atarudi,...
Facebook
Twitter
Google+
Pinterest
LinkedIn
RSS