Ni ujumbe wa
Bwana haleluya, wa maisha ya daima,
amenena mwenyewe haleluya, utaishi ukitazama
amenena mwenyewe haleluya, utaishi ukitazama
Tazama, ishi sasa, kumtazama Yesu,
alinena mwenyewe, haleluya! utaishi ukitazama
alinena mwenyewe, haleluya! utaishi ukitazama
Uzima wa
daima haleluya , kwake Yesu utauona,
ukimtazama tu haleluya, wokovu u peke kwa Bwana
ukimtazama tu haleluya, wokovu u peke kwa Bwana
ni habari ya raha haleluya, mwenye kuinena ni Mungu.
0 comments:
Post a Comment